Ruka hadi kwenye maudhui

Fanya biashara ya forex, dhahabu na zaidi ukitumia Exness.

Jiunge na Exness

Jinsi ya kujisajili na Exness

Kufungua akaunti kunahitaji hatua chache. Uthibitishaji hukuwezesha kuweka na kutoa pesa.

  1. Jisajili

    Chagua kitufe cha kujisajili na uweke barua pepe yako. Thibitisha nchi unayoishi na uunde nenosiri.

  2. Thibitisha barua pepe na nambari yako ya simu

    Weka misimbo utakayotumiwa ili kulinda akaunti yako.

  3. Kamilisha wasifu wako

    Weka taarifa zako binafsi sawasawa kama zilivyo kwenye hati yako ya utambulisho.

  4. Thibitisha utambulisho na anwani yako

    Pakia hati zako katika Personal Area.

  5. Weka pesa kwenye akaunti yako

    Weka pesa kwa njia inayopatikana kwako na uanze biashara, au endelea kufanya mazoezi kwenye demo.

Hati za uthibitishaji

Uthibitisho wa utambulisho: pasipoti, kitambulisho cha taifa au leseni ya udereva, ambayo bado ni halali kwa angalau miezi 3 kuanzia siku unapoipakia.

Uthibitisho wa anwani, uliotolewa ndani ya miezi 6 iliyopita: bili ya huduma (umeme, maji, gesi, intaneti au simu), taarifa ya benki ya hivi karibuni, bili ya kodi ya eneo lako au barua ya marejeo kutoka benki yako.

Nchini Kenya, cheti cha KRA pia kinakubaliwa kama uthibitisho wa anwani.

Hati za utambulisho hazikubaliwi kama uthibitisho wa anwani.

Uko tayari kuboresha jinsi unavyofanya biashara?

Fungua akaunti yako kwa hatua chache, au anza na akaunti ya demo yenye pesa pepe kisha uhamie akaunti halisi ukiwa tayari.

Jiunge na Exness
Jiunge na Exness