Majukwaa ya biashara ya Exness
Akaunti moja, njia kadhaa za kufanya biashara.
Exness Terminal
Fanya biashara kwenye kivinjari chako bila kusakinisha chochote.
Exness Trade app
Fanya biashara, weka na utoe pesa kupitia simu yako.
MetaTrader 5
Chati za hali ya juu, vipindi vingi zaidi vya muda na biashara ya kiotomatiki.
MetaTrader 4
Jukwaa la jadi la Expert Advisors na viashiria maalum.
Uko tayari kuboresha jinsi unavyofanya biashara?
Fungua akaunti yako kwa hatua chache, au anza na akaunti ya demo yenye pesa pepe kisha uhamie akaunti halisi ukiwa tayari.
Jiunge na Exness