Kuweka na kutoa pesa
Weka pesa kwenye akaunti yako na utoe pesa kwa njia za malipo zinazopatikana mahali unapoishi.
Njia za malipo
Baada ya kujisajili, Personal Area huorodhesha kila njia ya malipo inayopatikana kwako, pamoja na vikomo vyake na muda wa kushughulikiwa.
Kuweka na kutoa pesa kunawezekana 24/7. Ikiwa muamala haukamiliki papo hapo, Exness huushughulikia ndani ya saa 24; benki yako au huduma ya malipo inaweza kuchukua muda kidogo zaidi.
Jinsi inavyofanya kazi
Thibitisha wasifu wako
Unaweza kuweka na kutoa pesa mara tu utambulisho na anwani yako vitakapothibitishwa.
Chagua njia
Chagua njia ya malipo katika Personal Area. Inapowezekana, pesa unazotoa hutumwa kwa njia uliyotumia kuweka pesa.
Fuatilia
Personal Area inaonyesha hali ya kila muamala.
Uko tayari kuboresha jinsi unavyofanya biashara?
Fungua akaunti yako kwa hatua chache, au anza na akaunti ya demo yenye pesa pepe kisha uhamie akaunti halisi ukiwa tayari.
Jiunge na Exness